Sunday, 8 November 2009

Askofu wa KKKT Dodoma asimikwa

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpatia zawadi Askofu wa Dayosisi ya Dodoma, Festo Ngowo katika Ibada ya kumsimika Askofu huyo kwenye kanisa kuu la KKKT mjini Dodoma leo (Picha: PMO).

0 comments: