Huyu mbwa wa pili nikimwona kwa mbali tu nitaanza kukemea mapepo yote yamtoke ama kusali sala ya mwisho. Dk Faustine isije ikawa uwaonesha wanao hawa mbwa, wakipatwa na mawenge tutajua sababu yake.
Welcome to this blog......Please be constructive in your contributions, abusive language is prohibited. Karibuni sana!
About Me
Faustine
I am a medical specialist, social and political commentator.
I write about issues that happen in my beloved country, Tanzania and the World in General.
I can be reached through drfaustinen >at< aol dot com
2 comments:
Huyu mbwa wa pili nikimwona kwa mbali tu nitaanza kukemea mapepo yote yamtoke ama kusali sala ya mwisho. Dk Faustine isije ikawa uwaonesha wanao hawa mbwa, wakipatwa na mawenge tutajua sababu yake.
Martha akigoma kula tu mtishie mwaya utaona mwenyewe anafyata mkia! Aisee nilidhani Bull dogs ndo mbwa wabaya duniani kumbe nao wamo!
Kundi
Post a Comment