The girl's name Faustine \fa(u)-sti-ne, faus-tine\ is pronounced foss-TEEN. It is of Latin origin, and its meaning is "fortunate, enjoying good luck". Feminine form of Faust. The Faust of legend sold his soul to the Devil. Two Roman empresses were called Faustina.
Faustine has 3 variant forms: Fausta, Fauste and Faustina.
Faustine is a very rare female first name and a very rare surname (source: 1990 U.S. Census). Displayed below is the baby name popularity trend for the girl's name Faustine. Click here to compare Faustine with related baby names.
NB: WADAU NIBADILI JINA?


4 comments:
Rekebisha tu hizo spelling mkuu, ondoa hiyo "e", likibakia Faustin ni la kiume.
Haya majina ya kuazima kwa wazungu yana ngebe zake! Ona kwa mfano mke wa Clinton anaitwa Hilary Clinton, na yule jamaa aliyekuwa wa kwanza kufika mlima Everest anaitwa Sir Edmund Hillary. Hapo kuna Hillary na Hilary, moja mwanaume mwingine mwanamke, tofauti ni spelling tu, an extra "L".
Njia nyingine kuepuka hii mikanganyiko ni kuwa na majina yetu ya kiasili tu: Nikisikia "Mwita" najua hakika ni mwanaume, na "Koku" ni wa kike tu lazima. Au yale majina ya kiswahili yasiyo na jinsia kama "Tumaini", "Furaha" nk. Kwa hiyo mkubwa kama unalo jina la kiafrika basi tumia hilo.
Nakubaliana na comments hapo juu, nakushauri utumie jina la kiafrika, mfano 'Mnynyelwa' au 'Chisela'
Ukweli originally hilo jina ni la mademu wa kizungu huko kwao, nadhani wakati wanakupa hilo jina lako hilo tafiti za kina kama ulizofanya zilikuwa hakuna huku kwetu. Ushauri wangu mimi ni huu endelea na hilo jina tu kwani ukianza badili kutakuwa na mlolongo wa viapo visivyo na idadi pia magamba yako itabidi yaanze fanyiwa marekebisho tokea tambaza na kungine ulikopitapita. Na pia itabidi uanze kutu update watu mbalimbali itakuwa usumbufu tu. Nadhani wengi wameteleza na majina kama lako so your not alone pal... Labda mwisho itabidi tukubaliane na wale great thinkers waliofanya tafiti na wakagundua kuwa one word can mean different katika dunia hii ya utandawizi.
Endelea tu nalo mwaya maana ukianza kubadilisha kweli itakuwa issue, mbona na mimi nina jina sawa na mcheza mpira maarufu huko Ufaransa (Lillian Thuram)! Huyu naye ilikuwa wrong number! Haya mwaya Faustine jibwage nalo tu tupo wengi!
Post a Comment